Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watu wanapotea bila maelezo. Mpaka leo Deusdedit Soka hajulikani yuko wapi.
Abdul Nondo ametekwa juzi.
Watu wanauliza maswali hawapati majibu.
Juzi ametekwa mtu Mbezi,mfanyabiashara,muuza Bucha,Daudi,I forget his name,ameuawa, mwili wake umetupwa Bagamoyo.
Familia yake ikasema Polisi imewazuia kuongea na vuomby vya habari.