Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Jeshi la Polisi pamoja na majeshi mengine yote hayana uwezo wa kubadiri taratibu na sheria za nchi yetu.
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuingilia mikutano ya vyama vya upinzani ni kitendo hatari kinachoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Sheria zetu zipo wazi na zinaweka wazi majukumu ya Jeshi la Polisi na mipaka ya kazi yao, moja kati ya mipaka ya polisi ni kutojihusisha na siasa za upande wowote na pia kuwa waaminifu katika kutimiza majukumu yao bila upendeleo.
Jana tarehe 06/09/2021 msajili wa vyama vya siasa alipiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa kile alichodai kupisha mazungumzo kati yake (yeye jaji Mtungi) na mkuu wa jeshi la polisi IGP Simon Siro.
Katika mazungumzo yake anadai kikao hicho ambavyo hakina tarehe ya kufanyika kwake ni cha kuweka sawa mkinzano uliopo kati ya vyama vya siasa na jeshi la polisi. Katika hali ya kawaida IGP hawezi kutupangia sisi RAIA aina ya siasa za kufanya kinyume na zilizoainishwa kwenye katiba.
#Najiandaa na mtihani wa Darasa la saba nitarudi ngoja nijisomee kwanza.