IGP: Polisi tumejipanga (Sensa 2012)

Naombeni summary. wamejipanga kufanya nini?
Nilivyoelewa mimi ni kuwa the main point ni hii hapa: "Vitendo vyovyote vitavyoashiria kuwatishia, kuwazuia au kuwaletea fujo makarani na wasimamizi wa sensa ili kuwazuia wasitimize wajibu wao havitavumiliwa ni vyema wote tukaheshimu sheria za nchi pasipo kusubiri hadi ushurutishaji ufanyike," alisema Chagonja.
Kitu ambacho Waislamu kiujumla hawahusiani nacho, walichosema Waislamu ni kugomea sensa kwa njia kama vile kufunga majumba na kwenda Misikitini n.k
Hivyo kiuelewa wangu ni kuwa kauli ya Polisi hailengi Waislamu au kundi lolote lile bali ni kauli ya kiujumla, na matayarsho yao ni kama vile ambavyo wakati wote wapo tayari kupambana na vitendo vya kihalifu.
 
Ni wakati wa mavuno baada ya kupanda!
 
Nani kasema atafanya vurugu, uamuzi ni kutohesabiwa. Mfa maji haachi kutapatapa. ndio MWISHO wa CCM umewadia.

 
FANTASTIC NEWS.

Taarifa kutoka chanzo Muhimu zinasema kuwa ktk kikao cha Mashekhe na mzee wa Kaya kilichofanyika Juzi Ikulu, Mashekhe waliwekewa Mezani shilling BILLION 5 ili warud kuja kuwaamasisha Waislamu washiriki sensa.

Lkn Jopo la Mashekhe WALIKATAA KUUZA UISLAMU WAO KWA TAMAA ZA KIDUNIA.
...
Mapambano ya kudai HAKI NDIO KWANZAA YAMEANZA.

HAKUNA SENSA BILA KIPENGELE CHA DINI.
 
TZDAIMA : GAZETI LA CHADEMA LINAVYOJIINGIZA KTK PROPAGANDA DHIDI YA WAISLAM KIPINDI HICHI CHA SENSA KWA FAIDA YA CHADEMA?
Kuna propaganda kubwa zinafanywa kupitia tzdaima gazeti ambalo siku zote linadai lipo against CCM na kuunga mkono chadema.
lkn kinachoshangaza kwamba sasa linatumika kupiga propaganda dhidi ya waislam.
JEE HILI NI SHINIKIZO LA CHADEMA DHIDI YA WAISLAM?
 
Mbona na wewe unagoma? Hivi ni kweli kwa kushinda kote humu Jf bado hujapata hata kaelimu kadogo ka sensa?

Mkuu mbona jamaa unamkandamiza kiasi hicho? Msamehe bure tu! Ila ngoma ya mwaka huu imenoga, maana unasikia jamaa wamechanganya sensa mara huku unasikia Kadhi mkuu!!
 
Najisikia raha sana fainali imekaribia...(serikali/jeshi la polisi/BAKWATA) vs (Shehe Ponda/Taasisi za Kiislam).
Itanoga zaidi kama serikali ikiongeza safu yake ya ulinzi kwa kulijumuisha jeshi la wananchi tanzania...

Mbona na wewe unagoma? Hivi ni kweli kwa kushinda kote humu Jf bado hujapata hata kaelimu kadogo ka sensa?

Waichukulie mechi hii kama ya kujipima nguvu kabla ya mtanange na wamalawi tuone wakina shehe ubwabwa watatokea wapi...

Ubwabwa wameshauzoea hao...wanatakiwa wahesabiwe huku wanaruka kichurachura na kanzu zao ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.

hahahhaha nilijua tu hukosekani hapa ... you are so predictable dude..... seriously You should see a doctor about your unhealthy obsession with Islam/Muslims...
 
Mmmh, hawa nao sijui lakini
Ndio maana wanalinda seva yao na bunduki isiwe hacked
 
Mbona na wewe unagoma? Hivi ni kweli kwa kushinda kote humu Jf bado hujapata hata kaelimu kadogo ka sensa?

Mkuu embu Nielimishe na Mimi sensa itakunufaisha vipi wewe na familia yako chini ya serikali ya kifisadi ya ccm? Nielimishe Labda wewe unaweza kuwa umetuzidi wengine kiakili...
 
Mkuu embu Nielimishe na Mimi sensa itakunufaisha vipi wewe na familia yako chini ya serikali ya kifisadi ya ccm? Nielimishe Labda wewe unaweza kuwa umetuzidi wengine kiakili...
Ngoja na mimi nikuulize swali jingine kabisa ila na lenyewe linashughulkiwa na serikali ya kifisadi ya ccm.
Hivi umejiandikisha kupata kitambulisho cha taifa. Kama umejiandikisha ,je, kina faida gani tukiwa chini ya serikali ya kifisadi ya ccm?
Je wewe hautoi ushirikiano wowote kwa jambo lolote linaondeshwa na serikali kwa kwasababu inaongozwa na mafisadi wa ccm?
 
 
By JIULIZE KWANZA Mkuu embu Nielimishe na Mimi sensa itakunufaisha vipi wewe na familia yako chini ya serikali ya kifisadi ya ccm? Nielimishe Labda wewe unaweza kuwa umetuzidi wengine kiakili... Duh Mkuu nimetilia Shaka umri wako au elimu yako na Kama wewe ndio mwalimu wangu basi Mimi shule naacha...embu angalia tofauti kwenye izo quote APo juu swali juu ya swali badala ya jibu juu ya swali Mkuu vipi au ndio product ya shule za lowasa vodafasta academic school? Ila Wacha nikujibu kitambulisho cha utaifa na sensa ni vitu viwili tofauti ni Sawa na kufananisha mke/mume wa ndoa na kimada/hawara Anyway Hata ivo umenielimisha sijatoka kapa your a real great thinker...
 
Msingi wa swali langu lipo kwenye hii sentensi yako..."itakunufaisha vipi wewe na familia yako chini ya serikali ya kifisadi ya ccm". Hayo ndiyo maneno yako uliyosema ndiyo mimi nikakuuliza , hutoi ushirikiano wowote kwa jambo lolote kwa serikali kwa sababu ni serikali ya kifisadi ya ccm? Natambua nimekuuliza swali tofauti lakini jaribu kuzingatia msingi wake. Unaweza kuniponda elimu yangu nk lakini mimi kwangu hainisumbui ...ni herufi tu umeandika.
 
sasa hilo jeshi limejitayarisha vipi ? litaenda majumbani na mabunduki na marungu kuhesabu watu ? mbona wanazidisha urojo?
waislam kwa wingi wao wamekataa kuhesabiwa sasa jeshi litafanya nini
si makarani wakija kwangu mfano sipo ama mlango umefungwa hao mapolisi watazunguka nchi nzima kila nyumba kulazimisha uhesabiwe?
kwa hili wameshakoroga sensa sasa imekuwa kwa nguvu au ndio liwalo na liwe?

na hawa MD wanaoitaMasheikh uchwara na wao mbumbumbu pia..kwani hoja za waislam sio hawataki sensa wanataka lakini kuna masharti lazima yatekelezezwe
kuna kipengele cha dini serikali wanasema hakina umuhimu kitagawa watu...lakini huku ni kuogopa kivuli ...
kipengele hichi ni muhimu lakini ubishi ubishi serikali ikishilia kitu basi huwa liwalo na liwe
 



hahahhaha nilijua tu hukosekani hapa ... you are so predictable dude..... seriously You should see a doctor about your unhealthy obsession with Islam/Muslims...

Najisikia raha sana fainali imekaribia...(serikali/jeshi la polisi/BAKWATA) vs (Shehe Ponda/Taasisi za Kiislam).
Itanoga zaidi kama serikali ikiongeza safu yake ya ulinzi kwa kulijumuisha jeshi la wananchi tanzania...
By sweke34

Mbona na wewe unagoma? Hivi ni kweli kwa kushinda kote humu Jf bado hujapata hata kaelimu kadogo ka sensa?
By sweke34

Waichukulie mechi hii kama ya kujipima nguvu kabla ya mtanange na wamalawi tuone wakina shehe ubwabwa watatokea wapi...
By sweke34
Ubwabwa wameshauzoea hao...wanatakiwa wahesabiwe huku wanaruka kichurachura na kanzu zao ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.



That's word man the dude he real need to see a doctor not just for Obsession with Muslim but also for the sake of his family (only if he has one)
 



Bado hujajibu swali Mkuu anyway isiwe ligi jaribu kufata ushauri wa njiwa kwenye quote yake Asante lakini sijakuponda Bali nimekutilia Shaka tuu samahani Kama nimekukwanza


By JIULIZE KWANZA Mkuu embu Nielimishe na Mimi sensa itakunufaisha vipi wewe na familia yako chini ya serikali ya kifisadi ya ccm? Nielimishe Labda wewe unaweza kuwa umetuzidi wengine kiakili...Duh Mkuu nimetilia Shaka umri wako au elimu yako na Kama wewe ndio mwalimu wangu basi Mimi shule naacha...embu angalia tofauti kwenye izo quote APo juu swali juu ya swali badala ya jibu juu ya swali Mkuu vipi au ndio product ya shule za lowasa vodafasta academic school? Ila Wacha nikujibu kitambulisho cha utaifa na sensa ni vitu viwili tofauti ni Sawa na kufananisha mke/mume wa ndoa na kimada/hawara Anyway Hata ivo umenielimisha sijatoka kapa your a real great thinker...
 
Kazi kwelikweli...Unapouliza swali mwalimu anaweza kukuliza swali jingine na yeye ambalo ukiliweza kujibu unaweza ukawa umejibu swali lako mwenyewe.
Uliandika hivi:
Sote tunajua lengo la sensa ni kupanga shughuli za maendeleo. Lakini wewe unaona hilo swala la kupanga shughuli za maendeleo haliwezekani chini ya serikali ya kifisadi ya CCM ndiyo ukataka nikuelimishe sensa itaninufaisha vipi mimi na familia yangu chini ya serikali ya kifisadi ya CCM?
Na mimi nikakuuliza kitu tofauti kinachofanywa na hiyohiyo serikali ya kifisadi ya CCM. Je, umejiandikisha kwenye lile zoezi la kupata kitambulisho cha uraia?
Zingatia: Vitu viwili tofauti(sensa/vitambulisho) vinafanywa na serikali ileile ya kifisadi ya CCM.

Nilitegemea ungenipa majibu kati ya haya mawili:
a) Ndiyo nimejiandikisha kupata kitambulisho cha uraia kwa sababu kina manufaa haya__ __ __ __ ___ nk kwangu.
b) Hapana sijajiandikisha sijajiandikisha kwa sababu __ __ __ __.

Lakini kama tulivyoona , watanzania wengi wameshajiandikisha na waliobaki wanataendelea kujiandikisha vilevile kwa sababu zoezi ni endelevu.
Nategemea na wewe kama watanzania wengine utakuwa umejiandikisha au kama bado unategemea kujiandikisha.
Ndiyo swali langu likaja kwamba, umejiandikisha kupata kitambulisho cha uraia? Hicho kitambulisho ukishakipata kitakunufaisha vipi wewe tukiwa chini ya serikali ya kifisadi ya ccm? Je wewe hautoi ushirikiano wowote na kitu kinachofanywa na serikali hii ya kifisadi ya ccm?

Msingi wa swali langu ni serikali ya kifisadi ya ccm ambayo nikisoma katikati ya mistari yako inaonekana haiwezi ikaleta manufaa yeyote kimaendeleo hata ikifanya sensa.
Kwa ufupi nilitaka kujua hayo mambo mengine yanayofanya na serikali ya kifisadi ya ccm(eg vitambulisho) yana manufaa(maendeleo) kwako? Kwanini ukaona unaona sensa ikifanywa na serikali ya kifisadi ya ccm haitaleta maendeleo lakini vitu vingine vinavyofanywa na serikali ya kifisadi ya ccm unatoa ushirikiano mzuri bila kulazimishwa?

Huko mbele maendeleo yakizidi kurudi nyuma utamlaumu nani kama leo hii umegoma kuhesabiwa? Si bora hata uhesabiwe halafu baadaye utajua unamnyooshea nani kidole aliyekunyima maendeleo? Huoni kugomea sensa ni upumbuvu tuuu?

Mkuu nimepiga mitungi lakini akili nadhani bado iko sawa! Na limebaki lisaa limoja tu na ushee zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI lianze...Nataraji utahesabiwa...bwahahaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…