IGP Simon Sirro afanya ziara nchini Rwanda

IGP Simon Sirro afanya ziara nchini Rwanda

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
Kukaa week nzima Rwanda kutafta ujuzi au?

IMG_20210907_141054.jpg


IMG_20210907_123126.jpg


IMG_20210907_123123.jpg


IMG_20210907_123120.jpg


20210907_145536.png


IMG_20210907_150551.jpg
 
Ujirani mwema ni mzuri,kikinuka Rwanda sasa hivi,basi sehemu salama ya kukimbilia kwa sasa ni Tanzania.
 
na cdf yuko huko nimeona.

wacha wapeane connection.
sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi.
 
na cdf yuko huko nimeona.

wacha wapeane connection.
sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi.

Hapa askari wetu tu ndio wanazingua ila uniform zipo vizuri sana

Nimeshamwonaga SACP mmoja kavaa suti ya afisa ile mikono mifupi shati lina mifuko minne mkanda unapita katikati ya tumbo ila chini kavaa kiatu cha ngozi ambacho sio cha kamba
 
Back
Top Bottom