Mr Putin JF-Expert Member Joined Feb 13, 2019 Posts 515 Reaction score 520 Sep 7, 2021 #1 Kukaa week nzima Rwanda kutafta ujuzi au?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Sep 7, 2021 #2 Ujirani mwema ni mzuri,kikinuka Rwanda sasa hivi,basi sehemu salama ya kukimbilia kwa sasa ni Tanzania.
Ujirani mwema ni mzuri,kikinuka Rwanda sasa hivi,basi sehemu salama ya kukimbilia kwa sasa ni Tanzania.
blackstarline JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 3,278 Reaction score 7,966 Sep 7, 2021 #3 Kaenda kujifunza namna ya kuwatendea wapinzani vile matendo yake mengi yamekosa viwango
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 7, 2021 #4 na cdf yuko huko nimeona. wacha wapeane connection. sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi.
na cdf yuko huko nimeona. wacha wapeane connection. sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi.
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,475 Reaction score 5,290 Sep 7, 2021 #5 Rwanda wako smart kama Mambelez
shabiki JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 965 Reaction score 896 Sep 7, 2021 #6 Naona wetu tu ndio matumbo yametokeza!
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,490 Reaction score 7,422 Sep 8, 2021 #7 mkorinto said: na cdf yuko huko nimeona. wacha wapeane connection. sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi. Click to expand... Hapa askari wetu tu ndio wanazingua ila uniform zipo vizuri sana Nimeshamwonaga SACP mmoja kavaa suti ya afisa ile mikono mifupi shati lina mifuko minne mkanda unapita katikati ya tumbo ila chini kavaa kiatu cha ngozi ambacho sio cha kamba
mkorinto said: na cdf yuko huko nimeona. wacha wapeane connection. sema hawa jamaa wana uniform smart sana,sio za jeshi wala za maafisa wao wa polisi. Click to expand... Hapa askari wetu tu ndio wanazingua ila uniform zipo vizuri sana Nimeshamwonaga SACP mmoja kavaa suti ya afisa ile mikono mifupi shati lina mifuko minne mkanda unapita katikati ya tumbo ila chini kavaa kiatu cha ngozi ambacho sio cha kamba