IGP Simon Sirro apumzishwe

IGP sirro na Abdalla Zombe kesi zao zinafanana. Anatakuwa kuunganishwa kwenye tuhuma zinazoendelea kuhusu tukio la Hamza
 
Hapo kwenye mauaji ya albino sio kweli, mauaji hayo yalikuwa yakifadhiliwa zaidi na wanasiasa wa ccm wenye imani ya ushirikina waliokuwa wakiamini kwamba hivyo viungo vilikuwa na nguvu ya kichawi ya kuwafanya washinde uchaguzi.

Walipokuja na njia mbadala ya kujitangazia ushindi kibabe pasipo kuheshimu matakwa ya wananchi basi wakawa hawahitaji tena kutegemea viungo vya albino. That's the bitter truth.
 
Ndio Samia anamtegemea ili aweze kubaki madarakani hivyo sio rahisi akaondoka.
 
Weledi wao ni kwenye kukamata wapinzani hasa wakishapewa ahadi ya ubunge baada ya kustaafu
 
Kama Sirro hakuwa hivi sijui;
Weledi kauza wapi!
Busara kapeleka wapi!
Hekima zi wapi!
Oh! Inasikitisha sana !
Siku ambayo mtu anachukua kadi ya fisiemu ama kuanza kuishabikia ndipo siku ambapo mtu kichwa hujitenga na ubongo!!
 
Huyu syo kupumzishwa, akanyagweee
 
Pamoja na watu sampuli ya Sirro kuondolewa pia ni muhimu sana tena sana kwa jeshi la polisi kubadilishwa kutoka kuwa jeshi na kuwa (Huduma ya Polisi Tanzania). (Tanzania Police Services) badala ya Tanzania Police Force.
hapa ni sawa na unaumwa kichwa unaamua kunawa maji kama kitapoa,tatizo unaliona ila hulijui kiundani linasababishwa na nini.unakuwa unaotea njia za kulitatua.
wenzenu chadema pia walidhani tatizo ni jpm,akafariki kabisa.saa hii wanaona afadhali hata huyo jpm.
hata nikikwambia elezea ni kwa namna gani polisi kuwa jeshi kunalizuia kutekeleza baadhi ya kazi zake hutakuwa na jibu.
Polisi inafanya huduma za kijamii hivyo haipaswi kuwa jeshi la kutembea na silaha masaa yote utafikiri nchi iko vitani.
hawaitwi jeshi ili watembee na silaha,hivyo tegemea kiendelea kuziona hata kama wataamua waitwe masista wa padua.
Pia polisi wawe na Public Relations Department ambayo itakuwa inashughulikia mahusiano na jamii pia kitengo hichi kiongozwe na watu wenye weledi na maswala ya sheria na haki za binadamu.
weledi unaupimaje hapa!!ni taasisi ipi inafanya kazi kama za polisi halafu zikawa na uweledi mpaka ukapata rejea!!!maana polisi na hospital ndio zinaongoza kwa malalamiko,unajua ni kwanini????ndizo taaisi ambazo zinahudumia watu huduma zake kama mahitaji ya lazima.sio kweli kwamba ndio chafu zaidi.
Kwa sasa polisi wa Tanzania wanaweza wakashikilia namba moja duniani kwa kuwaonea raia wao kwa kuwabambikia vyesi feki ili wapate kuhongwa fedha nyingi kabla ya kuachiliwa.
kesi feki haiwi kesi ndugu labda kama umeshikwa halafu kwenye kutoa pesa unazichungulia,wanakuchomekea.
Polisi ktk nchi hii wamekuwa ni kero kiasi kwamba wakipatwa na zahama yoyote kama ya juzi wananchi wengi hushangilia.
wananchi wanaoshangilia vivyo vya polisi wote,angalia mfumo wao wa maisha utagundua una shida sehemu ,mtu timamu kiakili hawezi furahia kifo cha mtu mwingine.
 
Wewe tatizo lako unasumbuliwa na ushabik wa kichama kiasi kwamba inakufanya hata usiweze ku-reason. Senseless political bigotry.
 
Wewe tatizo lako unasumbuliwa na ushabik wa kichama kiasi kwamba inakufanya hata usiweze ku-reason. Senseless political bigotry.

huu ugonjwa wanaumwa sana ufipa kuliko ccm.
 
Unaweza kukuta ww ni askari mwenzie unampiga majungu Silo ili mkalie kiti
 
Ukisikia jambazi, gaidi, mwizi, tapeli, na kundi lolote linalo lalamika na linachukia polisi au vyombo vya usalama.

LAZIMA UFAHAMU VYOMBO VYA USALAMA VINAFANYA KAZI VIZURI.

SIRRO SHIKILIA HAPO HAPO, YANAPUMULIA JUU JUU.
Siku Kubambikiziwa KESI wewe,ndugu yako au Baba mkwe ndio utajua kama Sirro ashikilie au Aachie
 
Tatizo Wengi ni maskini na wanatafuta utajiri Kwa haraka..Wanatamani magari saaana.. Tamaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…