IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine https://t.co/pksnTrZ9bq
IMG_20211123_213427.jpg
 
Zile posho za bandarini ni nani hazitaki, fresh graduate wakiingia huko bandarani ndani ya miaka miwili (2) wamejenga na bado wako smna saving ya kutosha benki.

Ni askari gani anapenda kwenda kukamata waalifu, mama aache ufukunyuzi
 
Aagize veta zote na vyuo vingine vichunguze utengenezaji solar panels zakisasa...
Tunataka mambo ya maana tusipotezeane muda kuchunguza ujinga ujinga na mikesi yakishwaini!!!
Wenzetu wako busy na kugundua chanjo za ukimwi,korona,teknolojia sisi rais anataka uchunguzi kwanini polisi wanataka u trafiki na bandari alafu tukiulizwa kwanini tuu maskini tunasema hatujui...
 
Ivi kumbe wakimaliza mafunzo kuna access ya kuomba kitengo unacho taka!, minilidhani wanapangiwa tu kulingana na mahitaji.
Wanapangiwa kulingana na mahitaji
Sema tu huwa Kuna lobbong kwa watoto wa wakubwakupangiwa idara hizo lakini pia kuna wanatoa rushwa kwa wakubwa ili wapangiwe huko
 
Yaani mpaka karne hii bado watu wanapangiwa vituo vya kazi kwa takwa la mtu?
Kwanini kusiwekwe software yenye uwazi itakayochakata majina automatically na kuwapangia vituo vya kazi?
 
Hotuba za rais ni nyepesi sana kama vile za mwananchi wa kawaida, idara ya usalama tunawaomba kwenye viongoz wa juu muwaidhnishe waliofaulu vzr mithan ya f4 hadi chuo.
 
Back
Top Bottom