Unakataa kulinda adhi yako yaaniUngekuwa wewe sirro ungekataa utrafiki? Polisi gani mjinga anaweza kukubali kwenda kulinda bank?
Wanapangiwa kulingana na mahitajiIvi kumbe wakimaliza mafunzo kuna access ya kuomba kitengo unacho taka!, minilidhani wanapangiwa tu kulingana na mahitaji.