Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hivi jeshini kama boss wako anafanya ujinga unatakiwa ufanye niniJeshi halinaga huo ujinga!
ufe nae ujinganiHivi jeshini kama boss wako anafanya ujinga unatakiwa ufanye nini
IGP Sirro kazi imemshinda. Wankyo amesema ukweli kuwa anafaa.Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma: Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
View attachment 2168097
Poteza cheo ujue marafiki zako wa ukweli 😂😂😂 hakyanani nimecheka sana lol..Wankyo atapangiwa kazi chini ya uangalizi wa 0.
Ameshajua hajui, Sasa hivi hata akiwapigia wenzake simu, hazipokelewi, wengine washa m block tangu Jana.
Haha Sana mkuuVita vya Panzi .. mtajuana wenyewe eti nidhamu toka lini POLICCM mkawa na nidhamu,, wazurumati na wauaji wakubwa nyie. Pumbavu kabisa kabisa.
Wakubwa wake ndio watauona huo ujinga na kuutafsiri siyo wewe kapuku.Hivi jeshini kama boss wako anafanya ujinga unatakiwa ufanye nini
Hata ile michepuko yake ndani ya geshi ra porisi imesham block.Poteza cheo ujue marafiki zako wa ukweli 😂😂😂 hakyanani nimecheka sana lol..
tatizo sio uwezo ni utaratibu… leo waziri mkuu au makamu aseme anautaka Urais ..na atafanya zaid ya Raisi aliopo..tuone kama atabakiKaadhibiwa kwa kutaka cheo cha juu kwasababu aliamini ana uwezo wa kukitumikia?
Huko jeshini kuna mambo mengi ya ajabu.
Ataozea benchAnaenda kusoma magazeti
Yeye anahamisha wenzie na Mama Sasa ampige chini huyo SiroTaarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma: Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
View attachment 2168097
KumekuchaTaarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera na Wankyo amepelekwa makao makuu ya jeshi mkoani DODOMA ambapo ni mji mkuu wa tanzania.
Ikumbukwe kuwa kauli aliyotoa jana kiutendaji ndani ya jeshi la polisi huku akijuwa mkuu wake wa kazi yupo na anafanya kazi hakustahili kusema kuwa mkuu wake wa kazi anafanya kazi ila yeye akipewa ukuu wa jeshi anaweza kufanya vizuri zaidi hii imeonesha kuwa nafasi aliyeteuliwa na amri jeshi mkuu hatoshi kuliongoza jeshi hivyo basi kwa kuwa jeshi huongozwa kwa nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana mabadiliko hayo yamefanyika ili akae makao makuu ajifunze nidhamu pamoja na kuandika vipeperushi mabalimbali vinavyolihusu jeshi la polisi.
Pia soma: Wankyo Nyigesa RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
View attachment 2168097
Kama Kuna kiongozi awe waziri, spika au jaji aliyechoka kazi, aje atamke kwamba atawania urais 2025.Kumbe kueleza ambitions zako hadharani na yenyewe ni mtihani........bongo umwinyi mwingi sana na ndo unaturudisha nyuma.
Hata kuhamishwa siyo kosa.Kutoa tu maoni imekuwa kosa?