IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

Mapolisi hawana maana yani jamaa kutamani tu ateuliwe imekua nonmgwa, ndio ujue sasa watu wa aina ya sirro walivyo, ndiomaana madudu yooote ya polisi hataki kujiuzulu anakomaa tu, Mura wankyo Pore sana Muraaa huyo ndi ZiiRooooo bana
Kuna kiongozi anapenda kuwa challenged kwenye nafasi yake? Mama Samia mwenyewe tu hadharani alisema anawatemesha uwaziri wale wote wanaowaza uraisi 2025
 
Ajijenge kwa lipi labda kama kua IGP kungekua na upigaji kura.
 
I wish I could be IGP imemtokea puani, huu ni uhaini huwezi tamani kiti cha boss wako akiwa amekikalia.
 
Kitendo cha CCM kusema watalifanyia mabadiliko jeshi la polisi, nilijua tu kua Kamanda Sirro anaandaliwa mlango wa kutokea kijanja. Hawataki kumtoa direct, wanatumia mbinu za hali ya juu sana, huyo ACP wankyo sidhani kama aliongea yale kwa bahati mbaya.

Ukiangalia body language yake wakati anaongea utagundua kitu.

Japo CCM ni chama kilichoshindwa kutuvusha, ila kwenye mbinu za figisu, mikakati na hujuma wapo juu vibaya mno.

Rejea swala la mbowe juzi juzi hapa.

Anyway ni mawazo yangu tu.

The irreplaceable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…