IGP Sirro amvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni

Well said my friend!!!

Inawezekana cheo cha Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kinahitajika isipokuwa nafikili kuna shida au muingiliano wa majukumu kati ya RPCs wa Kinondoni, Temeke na Ilala.

Kwahiyo, IGP Sirro anashauliwa aandae a well defined Job descriptions za Kamanda wa Kanda Maalumu na hao ma-RPCs ili kuondoa muingiliano wa majukumu and unnecessary duplication of work.

Asante!!
 
Hongera mkuu kwa bandiko lako hili.
Wakubwa wameliona, wamelifanyia kazi.
 
Alipenda kukumbatia nafasi zote huyo fisadi kuu
 
Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Sirro leo amemvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam.

CP Hamduni kwa sasa ndiye Mkurugenzi mkuu wa Takukuru.

Source: Star tv

Kazi Iendelee!
johnthebaptist hivi makamishina wako kama wangapi jeshi la polisi?
 
Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Sirro leo amemvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam.

CP Hamduni kwa sasa ndiye Mkurugenzi mkuu wa Takukuru.

Source: Star tv

Kazi Iendelee!

Hivi anajua kwamba taifa linamuona anapwaya? anajua yanayoendela huko Mwanza ni ishara tosha kuwa uhalifu unarudi kwa kasi kubwa?

 
Siku zote ukitaka mambo yaende sawa, toa haki, fuata haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…