IGP Sirro anahujumu serikali waziwazi

IGP Sirro anahujumu serikali waziwazi

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza

Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.

Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
 
"Watanzania msituzalie watoto kama 'Hamza'"
 
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza

Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.

Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
Huyo siro naona madaraka yamemlevya,anaona amefika
 
Nyie wapumbavu tu, angemkamata Gwajima mngekuja kulalama humu kuwa jeshi la polisi linatumika vibaya.

Mbowe kama ni msafi atatoka!

Sirro ni kamanda bora sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Diwani alifaa Sana kuwa igp. Ni vile tu hawezi kurudi nyuma. Diwani sio mropokaji.
 
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza

Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.

Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
Huyu Siro anastahili astaafishwe, kabla hajaleta maafa makubwa Sana nchi hii
 
Mod unga
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza

Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.

Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
MOD unganisheni hizi nyuz za Sirro na Hamza ni nyingi mno
 
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza

Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.

Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
wote ni wabovu
 
AUYZ3t.jpg
 
Back
Top Bottom