Huyo siro naona madaraka yamemlevya,anaona amefika1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
Huyu Siro anastahili astaafishwe, kabla hajaleta maafa makubwa Sana nchi hii1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
MOD unganisheni hizi nyuz za Sirro na Hamza ni nyingi mno1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
Mfumo utambana.Diwani alifaa Sana kuwa igp. Ni vile tu hawezi kurudi nyuma. Diwani sio mropokaji.
wote ni wabovu1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute badilisha huyu haraka sana
Sahau hilo ccm hawawezi kubaliHuyu Siro anastahili astaafishwe, kabla hajaleta maafa makubwa Sana nchi hii
watawala wanampenda anafuata maelekezo yaoHuyu Siro anastahili astaafishwe, kabla hajaleta maafa makubwa Sana nchi hii
CCM kawaletea ushindi mkubwa snSahau hilo ccm hawawezi kubali