IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

Sasa kama wanawafahamu na wao ndiyo wakuhusika kuondoa tatizo kwenye comment yako iliandika wadhibitiwe sasa wadhibitiwe na nani?
Ashakum si matusi.. U Bado mtoto au mgeni mjini ndio maana unaniuliza hivyo
 
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Tukio mtu asiyejulikana akifyatua risasi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam

BREAKING Shooting near French embassy in Tanzania​

There has been a shootout near the French embassy in the Tanzanian city of Dar es Salaam.
The suspected shooter has been neutralised by a sniper.
The motive of the attack is still not clear and authorities are yet to comment.
The shooting occurred as President Samia Suluhu met police chiefs at a different location in Dar es Salaam.
The US embassy in Tanzania has issued an advisory urging its citizens to avoid the area near the French embassy and monitor local media for information.

Tukio la Leo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania linaonesha jinsi ya umuhimu wa utayari kwa vyombo vya usalama na pia wananchi waelimishwe nini cha kufanya kukitokea uhalifu kama wa leo ambapo mtu mwenye silaha ya kivita alionekana akifyatua risasi nyingi.
Video zote hisani kubwa ya Global TV online
Source : Global TV online
 

mkuu hakuna mwananchi alie uwawa wanaotakiwa kuelimishwa ni jeshi la polisi
 
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Suspect neutralised after shooting near French embassy in Tanzania​

The US embassy in Tanzania has issued an advisory to citizens​

• The motive of the attack is still not clear and authorities are yet to comment.
• The shooting occurred as President Samia Suluhu met police chiefs at a different location in Dar es Salaam.
 
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Gunfire heard near French embassy in Dar es Salaam Tanzania

Mlio wa risasi katika daraja la Salender Dar es salaam

Shahidi aelezea namna ilivyokua kwenye majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi. Tukio hilo limetokea muda huu katika daraja la Salender jijini Dar es Salaam, Tanzania
Source : mwanzo TV
 

Acheni kuita magaidi wahalifu huyu alikuwa anataka kuiba nini?
 
25 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Polisi yathibitisha watu 4 wamepoteza maisha na wengine 6 kujeruhiwa


Mkuu wa Operation wa jeshi la Polisi nchini Tanzania Kamishna Liberatus Sabas aongea na waandishi wa habari. Maafa hayo yametokea katika maeneo yaliyo karibu na maungano ya barabara za Kinondoni, Kenyatta Drive na Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam katika wilaya ya Kinondoni.

Source : mwanzo tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…