Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Sasa mkuu hili ndo suluhisho la kudumu kweli?Mkuu siungeshuka ukapanda daladala nyingine na nauli ni 400? unapoteza muda sababu ya 400 kweli? trafic ni watu wa hovyo sn
Mkuu hiyo ni ajali kazini kama ajali zingine, je gari ikiharibika utasubiri mpaka itengenezwe ndiyo uende kazini? lazima uwe na pesa ya dharura kidogo.Sasa mkuu hili ndo suluhisho la kudumu kweli?
Mtoa mada anataka suluhisho la kudumu kwa askari wote sasa ukisema ashuke apande basi jingine si itaendelea kuwa ndo tabia?
Halafu mia nne waiona ndogo watu wana bajeti zao na ukute ni kila siku lazima apande daladala.
Huyu Mtoa habari no mwenye hekima na busara anataka kutatua tatizo na sio kujionyesha ana 400 ya kulipa na kuondoka!! Think positivelyMkuu siungeshuka ukapanda daladala nyingine na nauli ni 400? unapoteza muda sababu ya 400 kweli? trafic ni watu wa hovyo sn
We mpaka leo hujui matatizo ya trafic barabarabani?Huyu Mtoa habari no mwenye hekima na busara anataka kutatua tatizo na sio kujionyesha ana 400 ya kulipa na kuondoka!! Think positively
Upo sahihi snnHapo askari yupo sahihi kabisa, maana dereva amekiuka sheria ,
Cha msingi shukeni mpande gari nyingine uyo muhuni akawekwe lockup, washaua sana ndugu zetu katika zebra hao madereva wavuta bange unaowatetea
Hapo askari Hana kosa kwakweli, madereva wa daladala wengi hawana akili sawasawaSasa mkuu hili ndo suluhisho la kudumu kweli?
Mtoa mada anataka suluhisho la kudumu kwa askari wote sasa ukisema ashuke apande basi jingine si itaendelea kuwa ndo tabia?
Halafu mia nne waiona ndogo watu wana bajeti zao na ukute ni kila siku lazima apande daladala.
Kabisa na rushwa ipo nje njeUtrafiki ni Mgodi wengi wanaingia kwenye Upolisi ili waukwae Utrafiki yaani akishakuwa Trafiki yeye mawazo yake ni kujenga angalao Nyumba tatu kwa kufosi makosa
Huyu amezungumzia kwa ujumla na sio kila mtu anauwezo wakulipa nauli mbili mbili.Mkuu siungeshuka ukapanda daladala nyingine na nauli ni 400? unapoteza muda sababu ya 400 kweli? trafic ni watu wa hovyo sn
Daladala, bajaji na bodaboda hawa ni vichwa maji haswaHapo askari Hana kosa kwakweli, madereva wa daladala wengi hawana akili sawasawa
Ikitokea gari imeharibika wanafanyaje?Huyu amezungumzia kwa ujumla na sio kila mtu anauwezo wakulipa nauli mbili mbili.
madereva wa daladala ni wendawazimu karibia wote,We mpaka leo hujui matatizo ya trafic barabarabani?
Wengi ni vichwa majimadereva wa daladala ni wendawazimu karibia wote,
Week iliyopita Kuna mmoja ameangusha gari mtaroni kisa walikuwa wanakimbizana kuwai abiria kituoni,
Hawa kamanda Awadh haji ndio alikuwa anaweza kudili nao
Kelele zinasaidia mwenye Mamlaka kuamka!! Nakumbuka 2016 Makonda alitoa agizo polisi wa usalama barabarani waongezwe Mara kumi zaidi!! Hadi polisi wa kulinda RAIA na Mali zao wakakosekana!! Sasa ni Muda muafaka kuwarudisha kwenye majukumu ya awali kupunguza usumbufu barabarani, Polisi watatu wanalinda taa nyekundu kukamata anaye jisahau!?We mpaka leo hujui matatizo ya trafic barabarabani?
Kwa kawaida gari ikiharibika kondakta anarudisha nauli na kwahiyo haiathiri bajeti ya abiria. Kero ni utendaji wa trafiki kama anavyolalamika mtoa mada.Mkuu hiyo ni ajali kazini kama ajali zingine, je gari ikiharibika utasubiri mpaka itengenezwe ndiyo uende kazini? lazima uwe na pesa ya dharura kidogo.