IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
IGP Sirro wa Tanzania amemuita haraka IGP wa Mozambique na kufika Mtwara jana na kuzungumza kuhusu mauaji ya wakulima 9 wa kitanzania waliokua Mozambique kwa shughuli za kilimo kisha kuuawa na kundi la kigaidi

IGP Sirro ametaka ufunguzi wa mpaka kati ya Tanzania na Mozambique kijeshi, hivyo sasa Tanzania itaingiza jeshi lake la police kwenda Mozambique kuwasaka hao wahuni, jeshi shupavu la police la Tanzania tayari lilishatuma majasusi wake Mozambique undercover na hivi sasa tayari wamo Mozambique kuanza show.

Itakumbukwa hawa wauaji ndio wale waliokua kwenye mapango ya amboni kule Tanga na Kibiti huko Pwani, waliuwawa kama kuku na jeshi shupavu na hodari la police, sasa wabaki kuvizia Watanzania waishio nchini Mozambique ili kulipa kisasi, Tanzania Police Force halitawaacha salama kamwe.

Uko kishabiki ila poa tuu, hao jamaa walikimbilia huko wakitokea Kibiti.
 
I'll advice your nation not to get in this trap of entering Mozambique. This is the same trap All shaabab did with Kenya, they were abducting and killing people at the boarder alafu wanakimbia Somalia which is their battling ground. The day Kenya step their foot in Somalia is the day everything changed, Remember Somalia and Mozambique are the same in terms of laws, they are both anarchy.
 
Ukweli lakini shida ya jeshi letu Kenya ni kutokuwa na nidhamu, ufisadi ambao unasababisha wanajeshi wetu wanunuliwe silaha zisizo za maana na zengine huwa haziwezi tumika.

Wacha watz wawafate na wapambane nao ndio tuone tofauti ya hizi nchi mbili.
 
Congo Tena!
 
Tanzania sio Kenya, tunarudia tena, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni miongoni mwa vyombo bora kabisa hapa Africa. Ndani ya wiki 2 tu hao jamaa watakamatwa na kujliwa ndani ya Msumbiji.

Nchi zote zilizotuzunguka zinajua jinsi Tanzania ilivyo na Jeshi na POLISI bora kabisa hapa Africa, na karibu nchi zote wamekuja kujifunza au kuomba msaada wa kiulinzi hapa Tanzania, pale wanapopata changamoto za usalama, Kenya pekee ndio imejiweka kando na kudhani mnaweza kupambana na uhalifu ndani ya Kenya bila msaada toka Tanzania.
 
Umeandika utafikiri unaleta habari za ccm na cdm

Ova
 
Ukweli lakini shida ya jeshi letu Kenya ni kutokuwa na nidhamu, ufisadi ambao unasababisha wanajeshi wetu wanunuliwe silaha zisizo za maana na zengine huwa haziwezi tumika.

Wacha watz wawafate na wapambane nao ndio tuone tofauti ya hizi nchi mbili.
Unataka kuniambia hawa ni wanajeshi kweli? 😁😁😁😁😁
 
Hawa askari wanakaa tu shida tupu,kwani wanalipwa peanuts!
 
Ukweli lakini shida ya jeshi letu Kenya ni kutokuwa na nidhamu, ufisadi ambao unasababisha wanajeshi wetu wanunuliwe silaha zisizo za maana na zengine huwa haziwezi tumika.

Wacha watz wawafate na wapambane nao ndio tuone tofauti ya hizi nchi mbili.
Don't pretend to be Kenyan, please rewrite what you have said in English.
 
Don't pretend to be Kenyan, please rewrite what you have said in English.
Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.

My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…