joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Uhuru is paid four times than Magufuli, but Magufuli works ten times than Uhuru. In a country of " man eat man society", no one is ready to work, even if you pay them $1M per month.Hawa askari wanakaa tu shida tupu,kwani wanalipwa peanuts!
Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.
My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
Uhuru is paid four times than Magufuli, but Magufuli works ten times than Uhuru. In a country of " man eat man society", no one is ready to work, even if you pay them $1M per month.
Wamanisha lugha ya kwetu Kisauni, Mombasa 001? Poa lakini hamna issue.Kingereza chenyewe umebugi, rudi kwenye lugha ya kwenu Tandale.
Bravado wachia jongoo, nktSoma aircraft registration number IGP wa Mozambique anayotua nayo Mtwara ndio utajua kama amejileta au ameletwa.
Try again harder, your English needs sympathy. Why can't you just be brave and stand with your country hata kama ni ya wachawi?Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.
My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
Eeee basi weka maji tuendelea kula huu ubuyuMleta thread kaongeza chumvi balaa...
Wamanisha lugha ya kwetu Kisauni, Mombasa 001? Poa lakini hamna issue.
Poa kama kweli wewe Mkenya wa Mambasani, haina noma karibu kwenye jukwaa la +254
Humu hatulazimishi mitazamo, tunavumiliana, tumekubali kutokubaliana, kama ilivyo nchini kwetu, demokrasia ndio hutuogoza, ilmradi huji kwa matusi.
Even if my english needs sympathy the important thing is that you understood me and that is why i say although i am proud to be a Kenyan we can not sweep under the rag our flaws which we all know is thievery not corruption and rampant tribalism. And as for whether you two characters MK254 think that am Kenyan or not is not of my concern. Be blessed ✊🏿Try again harder, your English needs sympathy. Why can't you just be brave and stand with your country hata kama ni ya wachawi?
Even if my english needs sympathy the important thing is that you understood me and that is why i say although i am proud to be a Kenyan we can not sweep under the rag our flaws which we all know is thievery not corruption and rampant tribalism. And as for whether you two characters MK254 think that am Kenyan or not is not of my concern. Be blessed [emoji1535]
When the debate is lost, slander becomes the tool of the loser.This fool is not a Kenyan, he is just like that Mkikuyu Akili Maji.
Pamoja kaka. Umetoka sehumu gani ya Kenya?Poa kama kweli wewe Mkenya wa Mambasani, haina noma karibu kwenye jukwaa la +254
Humu hatulazimishi mitazamo, tunavumiliana, tumekubali kutokubaliana, kama ilivyo nchini kwetu, demokrasia ndio hutuogoza, ilmradi huji kwa matusi.
I'm a real Kenyan unlike you who pretends to be Kenyan just to escape being called sorcerer.When the debate is lost, slander becomes the tool of the loser.
We dont need such characters (tribal minds) like you in Kenya lets all come together irregardless of tribal affiliations and strive to build a prosperous and united Kenya. Dont you want that for your children or grandchildren? Am even starting to think whether you are a Kenyan.
Be blessed my child.I'm a real Kenyan unlike you who pretends to be Kenyan just to escape being called sorcerer.
Pamoja kaka. Umetoka sehumu gani ya Kenya?
Rudia kusoma ulichoandikaUndercovers wa polisi nawakubali sana kwa 'Upele' TISS wakasome.
Baada ya siku mtarejea hapa kuthibitisha juu ya huu ukweli, hawa wajomba ni noma then kile kikosi maalumu ndio kinaenda kuwamaliza hao manyang'au.
POLICE TZ[emoji123][emoji123]