Wakizoea sana mwisho hawashindwi kupindua mezaIla Tanzania yaani uchaguzi ni wa kiraia ila polisi inaonekana Ndio wapiga Kura😭😭😭😭
Tunajua kujipanga kwao ni kushiriki wizi wa kura kukisaidia chama cha mafisadi kiendelee kufisadi nchi.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Akizungumza katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, IGP Wambura alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa kipekee kutokana na maandalizi madhubuti ya kuhakikisha amani inaendelea kudumu.
Aidha, IGP Wambura aliongeza kuwa hali ya usalama nchini kwa sasa ni shwari, na hakuna matukio ya kuhatarisha usalama yaliyotaarifiwa hivi karibuni.
View attachment 3195542
Hivi waandishi wa habari hawaulizi ripoti ya uchunguzi wa mzee Ali Kibao au wanaogopa kuuliza?huyu igp ndo mfano wa watumishi mazuzu, eti tume jipanga kwa ajili ya uchaguzi.
kwanini msi jipange kuchunguza na kujibu tuhuma, kuhusu watu wanao uliwa na kutekwa nchini??.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Akizungumza katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa, IGP Wambura alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa kipekee kutokana na maandalizi madhubuti ya kuhakikisha amani inaendelea kudumu.
Aidha, IGP Wambura aliongeza kuwa hali ya usalama nchini kwa sasa ni shwari, na hakuna matukio ya kuhatarisha usalama yaliyotaarifiwa hivi karibuni.
View attachment 3195542
Wamejipanga kwa jambo linalowapendeza tuseme waliloliwekea mikakatihuyu igp ndo mfano wa watumishi mazuzu, eti tume jipanga kwa ajili ya uchaguzi.
kwanini msi jipange kuchunguza na kujibu tuhuma, kuhusu watu wanao uliwa na kutekwa nchini??.