IGP Wambura, rushwa bado ni tatizo kwa trafiki

thereter

Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
46
Reaction score
36
Hii kitu tatizo nini au mishahara wanayolipwa ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi hela ni kidogo au inakuaje?

Hivi kutoka Tabora mjini mpaka Nzenga check point zipo Zaid ya Tatu na zote hice wanatoa pesa.

But hili ni janga wahusika mlitazame kama dharula halafu RUSHWA yenyewe ni buku 2.
 
Polisi wakiamua kaza utakuja lalamika hapa
 
Mtu anatoa elfu tano kwa kosa la laki moja sasa hapo wakiamua kufuata sheria mtatoboa kweli.
 
Hii kitu tatizo nini au mishahara wanayolipwa ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi hela ni kidogo au inakuaje?

Hivi kutoka Tabora mjini mpaka Nzenga check point zipo Zaid ya Tatu na zote hice wanatoa pesa.

But hili ni janga wahusika mlitazame kama dharula halafu RUSHWA yenyewe ni buku 2.
2000 unaiona ndogo 2000x50 sawa laki 1 belia kuna polisi 2 uoni polisi 1 anaondo sh 50,000/kwa mwezi m 1500 kwa wawe na magali majumba vimada kila mtaa rais mwenyewe awawezi atakuwa huyo mkubwa wao
 
Back
Top Bottom