Elections 2010 Igunga: CCM kwisha habari yake

Elections 2010 Igunga: CCM kwisha habari yake

DASA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
1,031
Reaction score
302
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.

Peeeeopleeeeeees.............
 
mbinu iliyomaki ni kama kibaki na odinga chini ya jaji kivitu
 
kwanini ccm washinde!? hawana sababu ya kushinda Igunga NAAAMINI CDM WATASHINDA!
KUOINYESHA MIAFRIKA SIVYO TULIVYO!
 
kwanini ccm washinde!? hawana sababu ya kushinda Igunga NAAAMINI CDM WATASHINDA!
KUOINYESHA MIAFRIKA SIVYO TULIVYO!

Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa
 
mbinu iliyomaki ni kama kibaki na odinga chini ya jaji kivitu

Mkuu umenikumbusha Kivuitu. Wakati wakenya wanauwana kwasababu alimtangaza mgombea aliyeshindwa, jamaa na Moi walikuwa Ngurdoto wanakula raha! Nashangaa kwann hakupelekwa The Heague kama wenzie!
 
Unajua ccm ina matatizo sana mtaji wake ni kufanya rafu kwenye uchaguzi..cdm msilalamike si mlisha jua mbinu wanazofanya zuieni uovu wao..........all the best cdm.
 
Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa

Inawezekana kabisa unacho"kinena!". Wanahahakati wa kisiasa wenye lengo la kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye makucha ya mafisadi!
 
Inawezekana kabisa unacho"kinena!". Wanahahakati wa kisiasa wenye lengo la kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye makucha ya mafisadi!

Siku posho itakapokatika ndipo atajua umuhimu wa wanaharakati wa chadema.
 
just wait and c.....uko tunduma unatangaza ushindi wa cdm igunga kama sio bangi nini?
 
Kama haya ni kweli, Basi Tanzania inahitaji wanaharakati wa aina hii ili tuendelee.

Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa
 
Back
Top Bottom