Haina tatizo. 2015 tutampa urais yule mwalimu wako aliyekufundisha madrasa. Au yule DC Mfuga nguruwe!Jamii Forum hata muwe mara elfu kama mnavyo jitokeza kwa kuwanadi hao CHAMA CHA MADEM,hamtoweza kufika kokote,yuko wapi Padri Slaa,kama aibu ingekuwa inauwa,basi mngekufa,maana huyo Babu yenu naona kaugua ukichaa kila siku anapayuka,nani wa kumpa urais Dr wa kupiga Vinanda na kuimba kwaya,
Umeona ee? Ila waliopo humu wengi ni wale vibaraka walotumwa na nape...wako kimasilah zaidi, kazi yao kubwa ni kupinga tuu! Hata visivyofaa kupinga..eti elfu 2 kwa siku ndo yawatoa povu masaa 24 jf! Ila tutafika tu!Halafu tunashinda nao humu ndani tukilumbana kwa hoja saa nyingine hata matusi tunaambulia.
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja( huku pombe huku makamba na huku kafumu
Kwa mtindo huu ushindi kwa CCM lazima!Viongozi hawachaguliwi kwa wingi wa watu kwenye mikutano, bali kwa wingi wa kura!!!
Ningewashauri Chadema wajitoe na kumfanyia kampeni mgombea wa CUf kwa vile umaarufu wake ni mkubwa jimboni hapa wasiwache kiti cha Igunga kurudi mikononi mwa Mafisadi si hivyo CCM itashinda kwa 38 % Igunga na Chadema na CUF watapata 56% ila kura zao zitakua ziko vipande vipande na hii ni neema ya CCM Zito na Ismail Jussa kubalianeni muoneshe mfano wa upinzani Tanzania style hii ikiendelea mageuzi yatakua yamekua spoiled na wapizani wenyewe na munawachereweshea watanzania mageuzi wanayoyataka kwa hamu sana huu ndio ushauri wangu.
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja( huku pombe huku makamba na huku kafumu
Mafuso mangapi mmeyatumia kukusanya huo umati wote? na pilau ilitosha? na Mkome kuwatoa watoto wa shule kwenye masomo
Inawezekana kuna kaukweli kiasi katika hoja yako. Maana kwenye mikutano na barabarani tuna watu kibao wanaotuunga mkono, lakini ikija kwenye kupiga kura hatupati. Lakini kuna mtu kanambia kwamba nyie CCM mna tabia ya kuiba kura. Hilo nalo unalisemeaje?Asikudanganye mtu..wengi huku ni wanachama wa CCM...hapa wanajikosha tu! Siku ya kupiga kuwa wote huwa wanakipigia kura chama chetu cha ukweli!