abduel paul
Senior Member
- Nov 23, 2010
- 133
- 5
Usisahau pia hatujapata taarifa kama walishindwa kuokoa watu kwa sababu ya kukosa helikopta, kiufupi tuna vikosi vingi na askari wake wengi wanashinda wakila vitimoto. Tuna JKT, JWTZ, polisi, KMKM, magereza, wanyamapoli, mgambo waote hawa ni askari achilia mbali na kuwa tuna serikali mbili, je wote hawa hawawezi kushirikiana kwa pamoja kuokoa hii kitu?
Na je huoni kuwa Igunga was potential area kwa kunadi na kukuza vyama vya upinzani na ajali ya znz ni ajali haikutegemewa kwa hiyo mkuu mi ninavyoona hapa kuna uzembe uliofanyika kwenye taasisi zinazohusika kulinda usalama wa raia ukiachilia mbali na vituko vya haya mashirika ya usafirishaji majini.
heti ndo nini?
vitengo vya serikali vitakuwa vizembe milele kam CCM itaongoza milele....ili vyama vitake ownership tunatakiwa kuing'oa ccm madarakani na hapo ndipo uzembe huu utakapoisha....chanzo cha yote ni serikali kutowajibika....Nakubaliana na wewe! Lakini nawaza hivi ni vipi kama vitengo vya serikali vikawa vzembe milele? Huoni sasa wakati umefika wa vyama navyo kubuni mbinu mbadala za kukabiliana na majanga kuliko kuiachia serikali tu? Waanze kama wapinzani waanze kujenga serikali kabla ya kuchukua serikali, mbona vyama vina miradi'
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?
abduel paul,
Ulinzi na Usalama wa wananchi na mali zao ndilo jukumu la kwanza kabisa la serikali. Wananchi wanalipa kodi ili serikali iweze kutimiza majukumu yake ya msingi.
Uzembe wa serikali, matumizi mabaya ya kodi zetu, kuyapa mambo yasiyo ya msingii vipaumbele ndizo sababu hasa za kushindwa kudhibiti maafa na hata kushindwa kutoa msaada wa haraka kuokoa maisha wakati wa ajali na majanga.
Jukumu la msingi la vyama vya siasa siyo kutoa misaada bali ni kujipanga viweze kuunda serikali ilil vihudumie wananchi kupitia makusanyo ya kodi na rasilimali za nchi.
Ni lazima kwa serikali kutenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya taasisi zinazohusika na uokozi na kuhakikisha ziko standby usiku na mchana.
effect ya kupuliza mjani/mneli..heti ndo nini?
helkopta c wamekodi wengine kenya nk? cna uhakika sana kama kuna chamaWana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?
sasa hatuna hiyo serikali, tusubiri mpaka wapinzani wachukue nchi? Ni vipi kama serikali iliyopo madarakani itabaki hapo ilipo? Hatuoni basi ipo haja ya vyama kuwa na mbinu mbadala za kukosoa serikali kabla ya matatizo kutukia? Mfano...! Tumezoea kuona zimamoto za serikali kufika kwenye matukio ya moto baada ya vyombo binafsi kuwa vimefika, embu CUF iwe na kitengo kimoja wapo cha jinsi hiyo na walau gari moja, huo ni mfano tu, wanaweza kuwa hata na zahanati ya chama, watoe huduma mahali fulani, mbona nimesikia kuna mpango wa kuanzisha bank ya vjana wa CCM, kwanini wao, Kwanini Bank?
heti ndo nini?
Wana JF nashindwa kusahau janga la znz heti kwasababu ya uchaguzu Igunga, na kwakua nimeshindwa kusahau hili, imenifanya nijiulize mambo kadhaa moja, hivi ktk majanga ya namna ya znz vyama wajibu wao uko kwenye kutoa tu misaada baada ya tatizo? Ni vipi kama wangetoa misaada ya namna ya uokozi wkt wa tatizo? Kama kutoa helkopta km zilivyokua zinaranda angani igunga?