Ah wapi, huyu jamaa ni mjanja: kwa vile anajua kwao dodoma kuna ngombe wengi wanatoa maziwa, atakunywa kiasi kidogo tu cha sumu kama alivyoahidi kisha atayafakamia maziwa ili asife kwa vile ahadi yake ni kunywa sumu tu na si kujiua; teh, teh, teh, ......Kwa hiyo bado siku chache afe
Sasa ndugu zangu CCM huyu mbunge anaongeza kura za CCM au anapunguza?jiulize anawambia hivyo watu wa uelewa gani...!kwa akili zangu ndogo tena sie watu wa vijijini tunajiju, mtu akisema kitu fulani kikitokea atafanya hv, kwa desturi zetu sie wenye uelewa mdogo ndio tunafanya hivyo ili tuone atakunywa sumu kweli au..???CCM inahitaji watu makini kwa mwendo huu haaa sijuii
Source:Tanzania daima.
Ah wapi, huyu jamaa ni mjanja: kwa vile anajua kwao dodoma kuna ngombe wengi wanatoa maziwa, atakunywa kiasi kidogo tu cha sumu kama alivyoahidi kisha atayafakamia maziwa ili asife kwa vile ahadi yake ni kunywa sumu tu na si kujiua; teh, teh, teh, ......
Kutokana na kauli ya Lusinde kuwa atakunywa sumu iwapo CCM itashindwa, ni dhahiri kwamba CCM itatangazwa kidedea, kwa mtu makini hawezi kujitangazia kunywa sumu kwani ana uhakika kuwa watatangazwa washindi.
Ila furaha yangu ni kuwa kama CHADEMA wakitangazwa kidedea huko Igunga, basi tuanze kujiandaa na uchaguzi mdogo huko mtera. Hii ni kutokana na kauli yake kuwa atakunywa sumu.
Angetaja na aina ya sumu atayotumia.......
Kutokana na kauli ya Lusinde kuwa atakunywa sumu iwapo CCM itashindwa, ni dhahiri kwamba CCM itatangazwa kidedea, kwa mtu makini hawezi kujitangazia kunywa sumu kwani ana uhakika kuwa watatangazwa washindi.
Ila furaha yangu ni kuwa kama CHADEMA wakitangazwa kidedea huko Igunga, basi tuanze kujiandaa na uchaguzi mdogo huko mtera. Hii ni kutokana na kauli yake kuwa atakunywa sumu.
Hapo kwenye red - Mkuu una akili!!! Sijui nikuite nabii
Anafikiri kwa kutumia masaburi yake! Bonge la kilaza. Tumwagien na cv yake!Hiv huyu lusinde, huwa anafikiri kwa kutumia nini? Coz anaongea pumba mpaka anakera