Elections 2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

Yeah he did mean that, lets see whats the end. I think he dag his own deadly grave because his voters will never trust him again. HE LOST THE TRUST WORTH TOTAL Y.
 
Gonjwa lile!

ndo madhara ya kujifunzia bange ukubwani. Huyu Lusinde na watu wengine wenye upeo kama yeye ndo wanafanya chama cha magamba kisiwe na mvuto kwa wajinga.
 
lusinde hutumia masaburi jamani katika kufikiri hivyo kunywa sumu kwake ni kawaida
 
Huyu jamaa anatakiwa ashitakiwe kwa kutishia kifo. By the way shule ndogo na akili pia
 
unaogopa nini na unashangaa nini wakati hayo maneno hata kwenye kanga yapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…