Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.
Zile helikopta mbili za CCM ni yeye ndo alizileta na kuzigharamia. Halafu alijidai anaachana na siasa uchwara! Thubutu! Tatizo ni kwamba ukishakuwa fisadi ndani ya CCM katika nchi hii, basi unakuwa mtumwa tu, utafanya kila kazi unayoambiwa bila kuuliza. lau sivyo........
Nami nimesikia kutoka kwa jamaa yangu aliye Igunga kwamba ni yeye RA ndiyo alizileta hizo helkopta za CCM!
Wakuu: Mnaona jinsi CCM wanatumia ufisadi na mafisadi kama mtaji wa kisiasa? Nani kasema Rostam Azizi ameachana na kampeni za hapo Igunga? Yumo hadi shingoni.
Zile helikopta mbili za CCM ni yeye ndo alizileta na kuzigharamia. Halafu alijidai anaachana na siasa uchwara! Thubutu! Tatizo ni kwamba ukishakuwa fisadi ndani ya CCM katika nchi hii, basi unakuwa mtumwa tu, utafanya kila kazi unayoambiwa bila kuuliza. lau sivyo........
Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?

Ni kama walivyo CCM na CUF hawaachani mpaka kufa, ndoa yao ni nzuri sana na hivi karibuni watapata mtoto.Baba yako akiachana na mama yako haiondoi wajibu wa yeye kukuhudumia kama kukulipia shule n.k.Hivyo Rostam alisema ameachana na siasa uchwara lakini alikiri kwamba ataendelea kuwa mwana CCM mwaminifu.Kama ni kweli yy ndie ametoa hizo helkopta basi ni wajibu wake maana mwanachama hawezi kukiombea chama chake mabaya,hajawa Shy-rose bhanji.Acheni wivu,nyie mbona mna Ndesa anawapa helkopta hatusemi? Au mnataka kusema ndesa pesa ni msafi?.Mbowe amekwisharudisha pesa ya penshen za wafanyakazi NSSF?