Jimbo la Igunga Waendelee na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 kwa kuwasimamia vizuri wakulima wa zao la Pamba katika kuhakikisha wanapata Soko na bei nzuri ya zao hilo muhimu chini ya Maelekezo ya Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana kwa Karibu na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus G. Ngassa.
"Tulipokuwa tukiomba kura na kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya Chama chetu Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Ibara ya 37 tulijikita katika kuwahakikishia Wananchi uimara wa Masoko na Bei ya Mazao. Sasa ni msimu wa mauzo ya Pamba. Tuliwaambia Wananchi kuwa watauza na kulipwa kwa Wakati
Tumefanya Ziara Igunga ambapo Pamba inalimwa kwa wingi, Wananchi wanauza Pamba na kulipwa fedha zao, kwa bei nzuri kadri ya maelezo ya Wizara.
Tunaishukuru Serikali ya Chama cha Mapinduzi kwa kulisimamia Jambo hili muhimu ambalo limeleta utulivu na furaha kwa Wakulima wa Igunga." - Nicholaus George Ngassa (Mb - Igunga)