Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..."
"... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya. Uimara wa afya ya Wananchi, ndio uimara wa Taifa Letu la Tanzania..."
Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga
"... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya. Uimara wa afya ya Wananchi, ndio uimara wa Taifa Letu la Tanzania..."
Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga