Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting.
Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku.
Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa.
Ila wamejitahidi kadri ya uwezo wao kurudisha hilo moja, limewang'ang'ania vilivyo mpaka dakika 90 zimekatika.
Mechi bado ni nyingi wajitahidi wasishuke tena.