Ihefu Fukuzeni kocha hamjachelewa

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Mechi 2 Tena nyumban inapoteza

Kwa Jinsi ligi hii ilivyongumu Kama hamtakubali kufanya mabadiliko mtarudi mlikotoka

Nyumban ndio sehemu pekee yakukusanya point walau hata moja kwa timu kubwa

Ni ushauri tu
 
Mbona kolo mlinyukwa na Hamis Kiiza kisha Paul Nonga baba paroko huku mkipata sare kwa chupli chupli mbona hatukuskia mmemfukuza kocha mpaka ikaja kipigo cha Feisal Salum.

Kingine mbona mmepasuka ngao ya jamii mayele kawaua mara mbili mbona hayo yote hatujayaskia?

Unafiki
 
Kocha ni mzuri. Apewe muda.

Siyo lazima kila timu ya ligi kuu kuwa na kocha kutoka Burundi.
 
Nenda Chooni ukatoe hicho kinyesi
 
Wewe siyo JK wala Sunday Manara.... Tumekuelewa vizuri
 
Mechi 2 Tena nyumban inapoteza

Kwa Jinsi ligi hii ilivyongumu Kama hamtakubali kufanya mabadiliko mtarudi mlikotoka

Nyumban ndio sehemu pekee yakukusanya point walau hata moja kwa timu kubwa

Ni ushauri tu
Bahati mbaya hawa ihefu wana uhakika wa kupoteza points 30 toka Simba, Yanga, Azam, Geita na Polisi.... Kuna uwezekano mkubwa wasifikishe points 20 msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…