Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha.
Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten ndy yakupatia hela Hapa bure bure dadeek nikawapa yanga nikastake elf 50 alafu nikachil bar Sina hata mia nikawa natiririsha bia huku nachek mechi inavyoenda yaan naagiza bia tu si na jua mkeka utatiki.
Mechi ikaisha bhana yanga kachapwa na ihefu mkeka ukachanika daaaaah....bia za watu nimekunywa S2kizzy mm ... We acha tu.
Haaya leo tena yanga na ihefu nikasema naisusia mechi sibeti .....ghafla niko zangu studio naona yanga kapiga bao la mapema nikaskia kisauti kinaniambia "we zombi haujui Leo yanga wanapiga mtu Tano".
Fastaaa nikaingia bet pawa kanji nikajisemea Leo huyu muhindi namchezesha mapiano.
Nikataka nistake laki mbili nikaskia sauti inaniambia "we selemani we eh selee".
Nikasema basi poa elfu ishirini hapo shega tu ngoma ikakubali nikatulia.
Heeee! Ihefu hao mara msawazisho mara jingine mara wanapoteza mda yaan mtu anabebwa kwenye machela anacheka tu alafu waliombeba wanatembea taratibu kwa kunyata utafkir wamebeba mayai .
Kmmk walai yanga Sina bahat nao.
Badala ya kumchezesha kanji mapiano yeye sasa ndy kanichezesha nachi😪