Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
labda wasije dar watajuta πMmekutana mmefungwaa tena[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hakikaπ€£π€£π€£π€£πͺMmekutana mmefungwaa tena[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio mpira mkuuUsituchoshe, mmepigwa pale pale
Huu ni uongoπππππππππππππππππππππππππππππππππππππππChura kakwama kuogelea kwenye majaruba ya Ubaruku.Mlituambia hamtakiwi kuwa NBC PL mnahamia Hispania.Muhamie sasa!
Tumeshawashtukia next time tutawatanguliza waoKila mwaka mnatangulia kufunga goli, baada ya hapo kifuatacho ni kilio na kusaga meno
Uongo upi wakati mmekandikwa?Ndio mpira mkuu
Huu ni uongo
Kuna muda tuweke ushabiki pembeni tukubali uhalisia, leo nilivyomuona mauya anaanza nikasema atuchomoki.Angalau wewe umeongea ki mpira.
Wasubiri Mkapa, lakini pale mashambani hutoki hata mkirudiana mara kadhaa[emoji23][emoji23]
Poleni
Kukandwa kawaida hata man u, arsenal wanakandwaUongo upi wakati mmekandikwa?
Ninyi mlitungopea hamfungwi na timu yoyote.Ngoja tuone vibweka vyenu.ππππKukandwa kawaida hata man u, arsenal wanakandwa
Ihefu wamejua kutunyamazisha, wale ndio waarabu wa mbeya
Na tutamfunga yeyote huko CAFKikosi kipana
Kila mchezaji anafunga
.
.
Ujumbe huu aupate@ShadeeyaIhefu wamejua kutunyamazisha, wale ndio waarabu wa mbeya
Tuchekeni lakini huko kwenu ndio hakufai kabisaNinyi mlitungopea hamfungwi na timu yoyote.Ngoja tuone vibweka vyenu.ππππ