Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #21
MuacheUjumbe huu aupate@Shadeeya
Unaota wewe.Zalan hawapo kule!Na tutamfunga yeyote huko CAF
Caf nako hakuna makali sasa hivi, unaweza kutana na wakimbizi tena ukajipigia tuNa tutamfunga yeyote huko CAF
Usinitoe kwenye reli, ihefu sisi sio milima tutakutanaUnaota wewe.Zalan hawapo kule!
Nna imani na timu yangu licha ya kupoteza mchezo wa leo.Caf nako hakuna makali sasa hivi, unaweza kutana na wakimbizi tena ukajipigia tu
Watakuja mjini, tunawapakia mafuta taratibuNianze kwa kutoa pole kwa wanayanga wenzengu, tuyapokee matokeo ndivyo mpira wa miguu ulivyo.
Mechi ya leo ya Ihefu vs Yanga inaingia kwenye list ya mechi zilizoniumiza kwenye mpira wa miguu...
Tusikilizie makundi Ijumaa,baada ya hapo tutaongea vizuriNna imani na timu yangu licha ya kupoteza mchezo wa leo.
Watajaa tu kwenye mfumo si wanafanyaga mazoezi ya kupoteza mudaWatakuja mjini,tunawapakia mafuta taratibu,***** zao
HakikaTusikilizie makundi Ijumaa,baada ya hapo tutaongea vizuri
Ingia wewe Kwa niaba yaoCaf nako hakuna makali sasa hivi, unaweza kutana na wakimbizi tena ukajipigia tu
***** zao,watakujaWatajaa tu kwenye mfumo si wanafanyaga mazoezi ya kupoteza muda
We waache,wametupa funzo kubwa sana,watalilipia wakuja mjiniUsinitoe kwenye reli, ihefu sisi sio milima tutakutana
Watakubali show, siku hiyo kocha aanze na full kikosi***** zao,watakuja
Kwa sababu gani?Pale hata mpewe mechi 30 za lig mcheze wenyewe tu mtaendelea kufungwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalau wewe umeongea ki mpira.
Wasubiri Mkapa, lakini pale mashambani hutoki hata mkirudiana mara kadhaa[emoji23][emoji23]
Poleni