Baada ya matokeo ya Yanga ya goli 5-0 kwa mechi mbili mashabiki wengi wa yanga hata wa Simba pia waliamini kuwa msimu huu Yanga anaweza kumaliza ligi bila kufungwa.
Lakini mapema tu wamedondosha points,tena kwa yule yule aliyevunja mwiko wa unbeaten.
Kwa mtazamo wangu matokeo ya jana yamefanya tuuheshimu mpira wa miguu.