Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivi hutu tusentence tuna tunalengo gani. Juzi nikamwuliza vizuri kuhuzu haya mambo anaimbia anashindwa kulala, kwa hiyo nisikate simu, nikikata ananipigia tena, tunarudi kwenye hapo hapo kwenye vichupi,etc.
mm hizi technique zinanitisha. nisaidieni wakubwa.
inamaa we hupendi maongezi hayo dear?
hebu njoo kule tunakomisiwa kuna neno nataka niseme na ww[/QUOdTE]
haya mama wangu wa busara natangulia
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivihutu tu sentence tunalengo gani. Juzi nikamwuliza vizuri kuhusu haya mambo ananiambia anashindwa kulala, kwa hiyo nisikate simu, nikikata ananipigia tena, tunarudi kwenye hapo hapo kwenye vichupi,etc.
mm hizi technique zinanitisha. nisaidieni wakubwa.
Wizi mtupu, nilishwahi kuwa na girlfriend wa namna hiyo, kwa kweli alikuwa ananicheat na jamaa. Sikutegemea kwa kweli
inamaa we hupendi maongezi hayo dear?
hahahah lolNipate wapi maongezi kama hayo mm, aah. :coffee:
hahahah lol
oooohhh dear
ni bp number yangu ni 0800JF
nikuchangamshe kidogo hahaha lol
Usiingize mtu mkenge...anawaweza asiwe changudoa ila atakuwa anapenda ngono.. maongezi ya mtu yanalandana na tabia zake bana kwa asilimia kubwa...ushahidi ninao!!si kila mwanamke anayezungumzia ngono sana ni mala**, hilo jambo linaweza kukupa hofu kwa kuwa ni geni kwako lkn jaribu kuchunguza zaidi matendo na si maneno. Hiyo lugha anayozungumza kwako inakupa shaka lkn kwa aliyezoea ataona kawaida tu maana kwenye mahusiano hakuna kanuni ni jinsi nyinyi wawili mnavyowiana.