FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Waweza soma tena
Waweza soma tena
Lailoni au nailoni?Tubaomba jeshi LA Polisi liweke wazi,ili watu watu waweze kujihami kwa unga huo wa upupu(magic powder),
Upupu a.k.a shoti ya umeme wa kienyeji
Ikitokea wezi wa boda boda watawavamia basi waweze kuwamwagia sawa sawa na wakabaji roba
Waweze kuutunza ktk lailoni ili iwe rahisi kutoboa kwa kidole na kumpaka mkabaji au kumwagia tokea mfukoni,lazima akuachie ndani ya mda mfupi labda siyo upupu wa Tabora
Inakuhitaji kijiko Kimoja au viwili tu vya upupu vilingisha ktk laioni.
Nb:haliwezi kuwa zao LA Biashara na kuwauzia mataifa au nyie polisi ktk maji yenu ya washawasha
Hupatikana kwa wingi Tabora.
Bora ungeandika kichaga tu maana lugha ya ya taifa inakupiga chenga.Tubaomba jeshi LA Polisi liweke wazi,ili watu watu waweze kujihami kwa unga huo wa upupu(magic powder),
Upupu a.k.a shoti ya umeme wa kienyeji
Ikitokea wezi wa boda boda watawavamia basi waweze kuwamwagia sawa sawa na wakabaji roba
Waweze kuutunza ktk lailoni ili iwe rahisi kutoboa kwa kidole na kumpaka mkabaji au kumwagia tokea mfukoni,lazima akuachie ndani ya mda mfupi labda siyo upupu wa Tabora
Inakuhitaji kijiko Kimoja au viwili tu vya upupu vilingisha ktk laioni.
Nb:haliwezi kuwa zao LA Biashara na kuwauzia mataifa au nyie polisi ktk maji yenu ya washawasha
Hupatikana kwa wingi Tabora.
Nilijua peke yangu