omba chuo chochote utapata inategemea na course gan unataka kupiga,according na kitabu cha tcu mwaka huu,cutt off point zinaanzia 3 na kuendelea kwa hiyo usiogope ww omba tu,ila loan ni non-priority kwa course za arts,except education kwa arts wanapewa nusu ya loan,