MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Straight to the point;
Kwamba [emoji848] ...eti ili mtu aweze kuishi maisha yenye AMANI, FURAHA, UPENDO na KURIDHIKA itategemea sana tena sana Tabia yake (Habit), Mwenendo wake (Attitude), Hulka yake (Behavior) na Matendo yake (Character), ameviwekeza katika Imani ya aina gani, Upendo wa aina gani na Matumaini ya aina gani.
HAPPY SUNDAY GUYS