DOKEZO Iinaonekana Tanzania kuna pesa nyingi sana za kudowload LBL wamerudi kivingine wanajiita DBA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni.

Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa usajili feki wa AI ikiwa na number za simu za UK.

Nadhani kosa lao kuu LBL na FIC hadi kustukiwa na mamlaka ni baada ya kujitangaza na kufungua maofisi bila hivyo wangeendelea kula hela hadi kesho.

Watz wanapenda sana pesa za kudowload online wanabamizwa hawakomi zipo platforms kibao zingine zinakaa wiki zinasepa mfano KFC, grock, evergreen venture, pesatube, Figure AI nk, zingine unakaa wiki tatu au mwezi mfano unicorn, global, nk.

Ukiona platforms inalipa pesa mingi kwa siku hio haimalizi wiki kuwaliza watu. Zile zinazolipa kidogo mfano elf 3 kwa siku hizi uenda hata mwezi hadi mitatu.

All in all zote haziwezi zidi miezi sita kabla ya kusepa.

 

Attachments

  • Screenshot_20250313_002938.jpg
    535.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250313_002840.jpg
    411.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250313_002922.jpg
    425.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250313_002828.jpg
    492.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250313_002153.jpg
    274.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250313_000704.jpg
    177.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250312_234127.jpg
    242.7 KB · Views: 1
Siku zote wajinga ndiyo waliwao. Hata manabii na mitume feki wanazitafuna sana hela za wajinga kupitia ile miujiza yao ya kutengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…