Ijali afya yako ya akili kama unavyojali afya yako ya mwili

Ijali afya yako ya akili kama unavyojali afya yako ya mwili

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Afya ya akili haipimwi kwa vile tunavyofanya peke yake, ila ni pamoja na vile tunavyokataa kufanya moja ya nguvu kubwa ya kuwa na afya bora ya akili ni uwezo wa kusema hapana, kama kwako neno hapana ni gumu kulitoa hata kama unaona haiko sawa tambua ubora wa afya yako ya akili una shida kuna mahali unapelekwa sio kama unajipeleka.

Ijali afya yako ya akili kama unavyojali afya yako ya mwili.

Maisha ni haya haya wa kubadilika ni wewe tu

Soma Pia: Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio


©️Echu

——————-www.echu.co.tz————-
 
Wa Tanzania wengi afya za akili zetu ziko chini , fikiria unaamua kukopa pesa huna biashara wala hulipi ada, mwisho mkopo uakushinda unapata aibu.

Mwanamke kwa kuwa una wasiwasi na mmeo unaanza na wewe kuchepuka, afiya ya akili hapo haipo sawa.

Tunabadili makanisa kama nguo mwisho tunatapeliwa na kutumika kingono.

Tujifunze kusema, "hapana"
 
Back
Top Bottom