Wa Tanzania wengi afya za akili zetu ziko chini , fikiria unaamua kukopa pesa huna biashara wala hulipi ada, mwisho mkopo uakushinda unapata aibu.
Mwanamke kwa kuwa una wasiwasi na mmeo unaanza na wewe kuchepuka, afiya ya akili hapo haipo sawa.
Tunabadili makanisa kama nguo mwisho tunatapeliwa na kutumika kingono.
Tujifunze kusema, "hapana"