MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Ground floorWeka na number ya floors.
Yana faida gani sasa au unawatangazia watu wa kujiua tu...1. PSPF TOWER (MAWASILIANO)
2. TPA TOWER
3. PSPF TWIN TOWERS
4. MWALIMU NYERERE FOUNDATION TOWER
5. MZIZIMA TOWER (JIPYA, Bado kidogo Sana kukamilika)
Halina mwisho kivipi Hilo jengo lililopo hapo opposite na st AlbansPosta mmpya sijaona majengo yake sijayaona pale kuna jengo Benjamin ukiangalia juu km halina mwisho
Mwalimu Nyerere ndo lipi ?Yana faida gani sasa au unawatangazia watu wa kujiua tu...
Bila ya kipimo cha urefu wa kila jengo, hizi ni porojo tu.1. PSPF TOWER (MAWASILIANO)
2. TPA TOWER
3. PSPF TWIN TOWERS
4. MWALIMU NYERERE FOUNDATION TOWER
5. MZIZIMA TOWER (JIPYA, Bado kidogo Sana kukamilika)
Huyu jamaa atakua anazungumzia pale Johari Rotana, maana ndio jengo la Mwalimu Nyerere Foundation, unless kuna lingine la jina hilo.Mwalimu Nyerere ndo lipi ?
Ahaaa au sio ile kambarage square kwenye junction ya kwenda TanzaniteHuyu jamaa atakua anazungumzia pale Johari Rotana, maana ndio jengo la Mwalimu Nyerere Foundation, unless kuna lingine la jina hilo.
Ok, ila wataalamu wakisema jengo refu huangalia urefu kadiri ya mita. Maana Kuna mengine Yana floors nyingi ila mafupi kuliko yenye floors chacheWeka na number ya floors.