JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Afya ya engine ya Gari lako.
Je, unajisikiaje ukinunua gari baada ya muda mfupi sana ikakulazimu ufanye overhaul ya engine?
Ili tuseme engine ya gari ina afya[engine mechanical health], Inatakiwa iwe na uwezo wa kuzalisha Compression pressure inayotakiwa.
Bila compression hakuna gari itawaka na kutembea barabari [tukiondoa gari za umeme]. Hii compression pressure ndio uhai wenyewe wa engine.
Kila engine inakuwa na Standard compression pressure na minimum compression pressure na hazifanani baina ya aina moja ya engine na aina nyingine.
Pia utofauti wa compression pressure baina ya Cylinder moja na nyingine hautakiwi kuzidi 10% generally. Japo kila engine ina namba yake pia kwenye hili.
Kukiwa na utofauti mkubwa kwenye compression pressure baina ya cylinder moja na nyingine, hupelekea rough idle.
Vibration ambazo husababishwa na utofauti huo huwa zinasumbua sana asikuambie mtu. Utabadili vitu vingi lakini vibration haitoisha. Unless ubadili engine.
Epuka yale mambo ya kununua gari ina vibration au ina misi halafu mtu anakuambia kirahisi tu kuwa "hizo spark plug tu za kubadilisha au kuna mounting moja ya engine inekufa". Kuwa makini.
Kama ni plug au engine mounting si abadilishe yeye?
Kitu kizuri kuhusu hii kit, ukiacha tu kupima compression pressure, inaweza kusaidia kujua matatizo mengi kwenye engine.
1. Unaweza kujua engine yenye cylinder head iliyopinda/cylinder head gasket mbovu.
2. Unaweza kujua engine yenye piston rings zilizochoka.
3. Unaweza kujua engine yenye valve seals mbovu.
4. Unaweza kujua engine ambayo imebuild carbon.
Mfano, Gari inayotoa moshi wa blue, tukipima compression tunaweza kujua shida ipo kwenye cylinder head[valve/valve seals] au shida ipo kwenye block[Piston rings n.k.].
Hivyo, inaweza kumrahisishia mtu kufanya maamuzi kama afungue tu cylinder head tu au ashushe engine yote.
Hii kitu inaweza kutumika hata kwa mtu anayenunua engine used/Mswaki. Engine itafungwa starter motor, itakuwa cranked na tutaangalia compression engine ikiwa chini.
Pia kwa wanaonunua magari used, tunaweza kupima compression na ukapata gari yenye engine nzuri kabisa ambayo hautaifanyia overhaul baada ya muda mfupi.
Hii picha nimeambatanisha nilikuwa natest compression pressure kwenye Toyota Belta yenye engine ya 1KR-FE.
Ukiangalia unaona iko around 190psi. Kwenye manual, standard ni 204psi na minimum ni 156psi. Hivyo hiyo engine bado inajiweza.
Pia tunazo modern equipments nyingi ambazo zinaweza kutumika kujua matatizo mbali mbali kwenye gari. Mfano tuna mashine ambayo inaweza kutumika kuidentify leak kwenye engine[mathalani vacuum leaks].
Hii ishu ya Vacuum leak ni very sensitive. Gari inaweza hata kushindwa kuwaka sababu ya hiyo kitu. Nitaifungulia thread soon.
Pia tunafanya Diagnosis na kurekebisha matatizo mbalimbali kwenye gari.
Tinafunga GPS, tunazo GPS za aina mbalimbali.
Tupo Dar, Magomeni, Mwembechai.
0621 221 606 au 0688 758 625.
Karibu sana.