Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

Status
Not open for further replies.
Umewaona wapi wanawake wazuri wanaenda haja🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haa ha ha, si ndio nimeshangaa mrembo kama wewe umechangia habari ya kwenda HAJA? Yaani nimeshangaa sana, in fact nimejiona FALA, kumbe hata warembo wanaenda HAJA kubwa kama sisi wanaume? Dunia hi bwana...! JF sihami mimi
 
gogo nilokata leo halipo kwenye chati iyo inabidi waje na chati nyingine.
 
Wanaume hawanyi bana.
Nimegundua kwamba, kuendelea kujieleimisha ni jambo muhimu sana aise; usije ukadhani umemamliza elimu, bado sana. Hili la Warembo kwenda chooni ndio nimelijua through yule dada alipochangia, dunia hi bwana.
 
Ukipimwa korona utatoa kinyesi cha last number
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…