Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi.
App yake inapatikana playstore na appstore kwa kuweza kuitumia.
Moja ya tofauti ya Kitonga AI na AI nyingine ni kuwa yenyewe inaweza kufanya kazi kwa Kiswahili.
Kitonga, Elias anabainisha kuwa wanatamani iwe one stop, kwa maana kitonga imefanywa iweze kufanya vitu vyote ikiwemo kusaidia kuandika, kubadili sauti, kutafsiri sauti, kuchora picha. Kusaidia wataalamu kama wahasibu na wataalamu wengine.