Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi.
App yake inapatikana playstore na appstore kwa kuweza kuitumia.
View attachment 2793181
View attachment 2793185
Moja ya tofauti ya Kitonga AI na AI nyingine ni kuwa yenyewe inaweza kufanya kazi kwa Kiswahili.
Kitonga, Elias anabainisha kuwa wanatamani iwe one stop, kwa maana kitonga imefanywa iweze kufanya vitu vyote ikiwemo kusaidia kuandika, kubadili sauti, kutafsiri sauti, kuchora picha. Kusaidia wataalamu kama wahasibu na wataalamu wengine.
Anatuletea ukenge wake hapa huyu jamaaEpuka matapeli hio ni Github respo..naona unajipigia chapuo mwenyewe
Umlipe cha juu. Hakuna winga ya bureKuna price plan kabisa, jamaa hataki mchezo, sasa hapa anataka tulipie nini ?
Anatumia API ya chatgpt, ukiiuliza hiyo ai yake ya kitonga which gpt version are you running on, inajibu gpt 3.5 turbo 16kChat GPT na G bard ukiuliza swali inakujibu yenyewe imekuwa train with corpus of data.
Sasa mbongo ana team ya kuweza kukusanya data mfano vilugha vya asili duniani au ana hela ya kununua hizo data!
Kwenye POE AI wameweka open sorce door mtu aweze ku create AI kwa namna anavyotaka iwe kwa infrastructure zao Quora company.
Inawezekana ametumia oprn source language model kuunda AI yake
Jambo kubwa sana tunatakiwa tujue kwa haraka ku adapt hizi AI ku innovate mambo kutokana na Infrastructure za hizo hizo open source AI .
Mada kama hizi za watu wanaofanya makubwa wala haziwezi kupata uchangiaji mkubwa ila tungeambiwa kafumaniwa....Mtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi.
App yake inapatikana playstore na appstore kwa kuweza kuitumia.
View attachment 2793181
View attachment 2793185
Moja ya tofauti ya Kitonga AI na AI nyingine ni kuwa yenyewe inaweza kufanya kazi kwa Kiswahili.
Kitonga, Elias anabainisha kuwa wanatamani iwe one stop, kwa maana kitonga imefanywa iweze kufanya vitu vyote ikiwemo kusaidia kuandika, kubadili sauti, kutafsiri sauti, kuchora picha. Kusaidia wataalamu kama wahasibu na wataalamu wengine.
Kuna kuwa na tofauti ya kiuwezo au ni sawa. GPT kuna mambo inashindwa hasa ya kiswahili.Anatumia API ya chatgpt, ukiiuliza hiyo ai yake ya kitonga which gpt version are you running on, inajibu gpt 3.5 turbo 16k
Hakuna tofauti Kwa sababu API inaretrieve gpt responseKuna kuwa na tofauti ya kiuwezo au ni sawa. GPT kuna mambo inashindwa hasa ya kiswahili.
End of thread
Wewe kwel ni mtumiaji wa gpt?!!!!.....inatia mashaka !Kuna kuwa na tofauti ya kiuwezo au ni sawa. GPT kuna mambo inashindwa hasa ya kiswahili.
AiseeMtanzania, Elias Patrick kutoka ameunda Kitonga AI ambayo inafanya kazi kwa namna ambayo AI nyingine zinafanya kazi.