watag mkuuu😄😄😄Kila la heri Asec Mimosas
😁😁😁Mshaanza kuchagua wanaume
Tena kwa Thimba hii hii ya Boko na MugaluSimba tutawafunga hao. Tena nyumbani na ugenini.
HahahaaaaHii simbilisi inaenda kututia aibu tu kwa haya ma ivory cost@scar
Simba kimataifa hainiangushagi kabisa
Acha uongo, ni uwanja wa taifa wa ivory coastKabisa mkuu
Binadamu kaumbiwa kusahauSimba kimataifa hainiangushagi kabisa