Je wajua?
pamoja na kuwepo kwa madaktari wenye weredi katika dunia ya sasa ya kiteknolojia vifaa tiba vinaenda kuchukua nafasi kubwa katika upatikanaji wa tiba kwa karibia magonjwa yote!
je, dunia imejiandaaje kwa hilo?
ungana nami kujua ni kina nani wanajukumu la kutengeneza kuendesha na kusimamia uendeshwaji sahihi wa vifaa tiba katika attachment apo chini.
#AMETT
#WIZARA YA AFYA
#TCU
#MUHAS
#DIT
#MUST
#ATC
#MVUMI
#ST JOSEPH