KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
BMW X1- Kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
Utangulizi- Iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 2010 ikichukuliwa kama mdogo wa BMW X3 iliyotangulia sokoni tangu 2004.
Injini+ Mafuta- Ina injini aina 2 tofauti zenye Cc 2000 zinazokadiriwa kwenda km 10-11/L kila moja. injini bora zaidi ni yenye code N46 sababu haina Turbocharge na pia haina mfumo mkubwa wa umeme kama ilivyo kwa N20 ingawa N20 inaonekana kua ya kisasa zaidi kwa kua ina Teknolojia ya kutumia mafuta madogo licha ya kua Turbo hivyo kuipa uwiano na hiyo isiyo na Turbo. Injini ya Cc 3000 sio ya kuifikiria kwa kua ina matumizi makubwa
Utulivu na Uimara
Gari hii imetulia kwa bara bara zote haswa lami kwenye mwendo mkali kwa kua inadaidiwa zaidi na uzito wake unaofika tani 1.6 na tani 1.7 kwa yenye Cc 3000
Vifaa Vifaa bado sio vingi sana japo vinapatikana kwa bei juu kidogo ingawa uzuri ni kwamba vinadumu mda mrefu
Nyongeza, Push 2 Start, Full Options, 2WD/AWD, Parking Sensors, Back Camera, Viti ngozi, 6 Airbags.
Maoni kwa mazingira yetu ya mafundi wachache wa umeme, na gharama kubwa za kuitunza turbo ni vizuri kuikimbilia injini code N46 badala ya N20 japo zote zina Cc 2000
Gharama kuagiza gari hii kwa sasa ni wastani wa 25m mpaka 26m