Ijue Bongo Radio: Tanzania Best Online Radio

Geeque

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
936
Reaction score
320
Kama ulikuwa hujui, Bongo Radio inapatikana kwenye simu yako ya mkononi na Tablets kupitia apps za TuneIn Radio, Nokia Radio, XiiaLive, Streema, ShoutCast na nyingine nyingi. Pia tunapatikana ndani ya streaming devices kama ROKU, Chromecast, Amazon Fire TV via TuneIn Radio na ShoutCast Apps. Jiunge nasi tusikilize kwa masaa 24 kila siku popote ulipo Duniani.

Tunarusha matangazo yetu kupitia channels 5 tofauti ambazo ni Channel One kwa ajili ya Bongo Flava na Sebene, East African Channel kwa ajili muziki kutoka Afrika Mashariki, Zilipendwa Channel ambayo inapiga nyimbo zote za zamani za muziki wa dansi kutokea Tanzania, Kenya na Congo (Zaire), African Grooves Channel inayopiga nyimbo mbali mbali kutoka nchi za Afrika kama Naija, South Africa, Congo, Senegal, Ghana. Pia tuna channel inayopiga muziki wa Taarab na Miduara.

Tafadhali wasiliana nasi kupitia;
Email: info@bongoradio.com
Facebook: www.facebook.com/bongoradio
Twitter: bongoradio
URL: Bongo Radio - Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Taarab & East African Music

Ahsanteni sana,
Bongo Radio Team.

 
Last edited by a moderator:
Toka matangazo yamekuwa digtali hizi Tv na Radio zitafunguliwa kila mtaa
 
Dunia inabadilika kutokana na maendeleo ya teknolojia kwa hiyo tutegemee yote hayo Kibo10 lakini kikubwa ni ubora wa huduma itolewayo kwa sababu hiyo ndio inaweza kuvutia wengi au kukimbiza wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…