Ijue CCM - Tofauti ya NEC, CC, Sekretarieti na Mkutano Mkuu

Ijue CCM - Tofauti ya NEC, CC, Sekretarieti na Mkutano Mkuu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Chukua corporate structure ambapo Mkutano Mkuu ni shareholders, NEC ni Board Members na CC ni Management. NEC ndio halmashauri kuu hiyo, so mkutano mkuu ni wawakilishi wa wanachama watano toka kila wilaya. Ndio chombo pekee kinachoweza kubariki mabadiliko makubwa ndani ya chama.....mabadiliko ya katiba nk, ndio kama wawakilishi wa wanachama.

Pia Mkutano Mkuu unakuwa na wawakilishi toka kila jumuiya ya chama toka kila wilaya.(UWT, UVCCM na wazazi)So approximately unakuwa na wajumbe kama elfu 2000 hv....na mkutano mkuu unafanyika mara moja kwa miaka mi5.Wajumbe wanachaguliwa wilayani, na kwenye jumuiya zao. Na kuna baadhi ya watu wanakuwa wajumbe wa mkutano mkuu by the virtue of their positionsWabunge, wenyeviti wa ccm kuanzia wilaya, mkoa, taifa,. Makatibu wa wilaya. Wenyeviti na makatibu wa jumuiya za chama....nk. So its the big meeting.

Halmashauri kuu sasa its smaller that mkutano mkuu. Approximately watu 200 - 300 hv. Wawakilishi mmoja toka kila wilaya ya tz.Then kuna hao wanaochaguliwa na mkutano mkuu wa ccm 20. Then kuna wanaochaguliwa na uwt 10. Wa uvccm wako 10, wa wazazi wako 10 pia.

Pia among wabunge wanapatikana wanec 10. So they all add up to that number.

NEC inakutana at least mara moja kila baada ya siku 90. Hii ndo inakuwa kama wawakilishi wa wanachama katika ku-run chama. Issues zinapotokea hawa ndo wenye maamuzi....wanapitisha wagombea wa urais, ubunge, na viongozi wa jumuiya. So they are influential kiaina....

Gileads: sasa katika Nec ya watu 200 -300, mwenyekiti anapendekeza watu 40.....ili kugombea kuingia cc.kati ya hao 40 waliopendekezwa na rais, NEC inapiga kura kuchagua watu 20 ili kuunda CC. CC inakutana kila mwezi kufanya maamuzi ya siasa za tz. Sera, uteuzi wa wajumbe wa bodi, miswada, nk. So walioko CC ni heavyweights pia. Wana access na rais on monthly basis kama cabinet.

Na katika nec ya watu 200 - 300, rais anateua watu 6 kuwa sekretariet ya NEC. Katibu, naibu bara na zenji, mhazina, mwenezi na katibu wa mambo ya nje.Hawa ndo errand boys wa chama. Wanaanda mikutano, kupiga kampeni, press releases.....nk. Ndo nape,mwigulu, mukama,et al. Hawa ndo sekretariet. ‎​No matter umechaguliwaje kuingia NEC eg. Via jumuiya, mkutano mkuu, wilaya etc. Unaweza kuingia CC, au kwenye sekretariet.

Sasa this whole thing comes down to the presidential race: ‎​Wagombea wa urais wanaporudisha fomu sasa.....sekretariet ndo inapokea hzo fomu.....

‎​Then sekretariet inatoa mapendekezo yake kwa CC. CC inapunguza majina wagombea mpk yafike ma5. ‎​Then yanapelekwa NEC.

NEC inapiga kura yanabaki majina ma3.Then mkutano mkuu wa CCM unapigia kura majina ma3 kupata jina moja la mgombea.
‎​Ndo maana unaona watu wanakimbilia sana kugombea NEC coz unaweza kubahatika kuingia sekretariet au CC ili kumtetea mgombea wako wa urais.

HIVI NDIVYO MGOMBEA WETU EL ATAKANYOTEULIWA HAPO 2015 KWA TIKITI YA CCM
 
hatuna mpango nao.................... tumeona jana wakifanya uchaguzi wa wachimba kaburi la kuizika ccm
 
Kahutubie structure yenu kwenye vikao vyenu hakuna m2 interrested na habari zenu magamba nyie.
R.i.p ccm.
 
Kahutubie structure yenu kwenye vikao vyenu hakuna m2 interrested na habari zenu magamba nyie.
R.i.p ccm.
 
Asante kwa elimu hii nzuri. Nina maswali kadhaa
1. Ina maana katika kikao hiki cc n sekretariti zitaundwa upya?
2. Kwa nini mkiti apendekeze majina 40 ya wagombania cc? Kwa nini kusiwe na uwakilishi? Kuna wanaoingia by virtue of their positions?
3. Cc inayomaliza muda wake Edo alikuwemo na au chenge? Kama hapana unadhani kwa nini
 
Asante kwa kutujuza...w.engine tulikuwa zungu la reli.
 
Asante kwa elimu hii nzuri. Nina maswali kadhaa
1. Ina maana katika kikao hiki cc n sekretariti zitaundwa upya?
2. Kwa nini mkiti apendekeze majina 40 ya wagombania cc? Kwa nini kusiwe na uwakilishi? Kuna wanaoingia by virtue of their positions?
3. Cc inayomaliza muda wake Edo alikuwemo na au chenge? Kama hapana unadhani kwa nini

1. YES 2. M/KITI anapendekeza kwa kushirikiana na CC inayomaliza 3. Edo na Chenge hawakuwepo
 

1. YES 2. M/KITI anapendekeza kwa kushirikiana na CC inayomaliza 3. Edo na Chenge hawakuwepo

Picha ambayo mimi naipata hapa ni kuwa mwenyekiti anayo fursa kubwa ya kumwandalia mazingira ya kushinda mtu anayemtaka akianza na safu ya cc. Edo watakuja kumwengua kwenye cc
 
Back
Top Bottom